Napenda kukaribishwa kuwa nanyi humu katika kuchangia masuala tofauti tofauti yahusuyo jamii yetu na ya Dunia yote. Nabisha hodi, mnikaribishe tafadhali.
Nakushukuru sana kiongozi, haswa kwa kukaribishwa nawe Legendary humu, na kwa sasa maarufu kwa watu kusafiria nyota / jina lako, kujipatia mdada. Nilisoma juzi kati hapa. Pamoja sana. Barikiwa
Nawashukuru wote kwa ukaribisho wenu, wale mlio wazoefu na hata wale mlio na muda mfupi humu, zaidi na wale mlio wageni wenzangu. Tutakuwa pamoja, bila shaka tutavumiliana. Mungu Awabariki sana!