Kuwa mmoja kati ya wanajamvi

Kuwa mmoja kati ya wanajamvi

Kitang'wa1

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
460
Reaction score
285
Hello!

Napenda kukaribishwa kuwa nanyi humu katika kuchangia masuala tofauti tofauti yahusuyo jamii yetu na ya Dunia yote. Nabisha hodi, mnikaribishe tafadhali.

Nawasilisha!
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa GT tupanuane mawazo.........
 
Karibu sana JF...

Nakushukuru sana kiongozi, haswa kwa kukaribishwa nawe Legendary humu, na kwa sasa maarufu kwa watu kusafiria nyota / jina lako, kujipatia mdada. Nilisoma juzi kati hapa. Pamoja sana. Barikiwa
 
Nawashukuru wote kwa ukaribisho wenu, wale mlio wazoefu na hata wale mlio na muda mfupi humu, zaidi na wale mlio wageni wenzangu. Tutakuwa pamoja, bila shaka tutavumiliana. Mungu Awabariki sana!
 
Back
Top Bottom