Mm pia ni kaka, Sema inauma sana mzazi anapotaka kuharibu hata Familia sio kwamba Kuna dharau hapana ila Kuna ile namna unaona kama husikilizwi tena. Mbona Akina mama wengi huwa na hekima au wakimya wanapo kuwa wazee kuliko wakina baba?Wewe ni kaka mkuu? Kama jibu ni ndio subiri kidogo tu, nawe utakuwa baba alafu utaona inavyouma kuona unadharaulika kwenye familia ambayo umeipigania kwa damu na jasho.
Ila Ni saikolojia tu. Sio makosa yao, ni ubinadamu tu huo.
Nadhani Wababa wengi hupitia hali hii watoto wao wakiwa wakubwa na Hasa wakitaka kushiriki kwenye maamuzi ya FamiliaHiyo tabia wanaongoza wanaume Kanda ya ziwa!..
ππππππSasa kama akili yako haijakomaa atakusikiliza nani. Tafuta pesa uone familia mzima kuanzia baba,mama,wadogo zako mpaka ukoo mzima utakavyokusikiliza. Utaitwa mzee wakati una 25yrs.
ππππππ
Sawa nashukuru pia kwa maoni yako.
Ila lengo hapa nikuona mwa namna gani hata wanaume tukiwa wazee tuweze jiamini na kutambua nafasi yetu kwenye Familia maana hili lime kuwa tatizo kwenye Familia nyingi
Ishu sio pesa hapa,Kuwa na pesa tu hizo heshima na kusikilizwa utakukimbia,hata ukiongea Pumba watu watakupigia makofi wakiwemo wazazi wako.