Kuwa Mwanamke ni Raha Sana

ushasema mtumia madawa,hivi unajua story za mateja wewe? utamdharau ukimkuta kachoka ila awe smart kama mnyama kigogo warioba TID ,ma confidence ya hali ya juu uongooo mwiiingiii
 
300 Million kwa kuuza pussy, you must be kidding?
Dah... kihisabati ni rahisi..kama anapata laki9 kwa siku...hiyo ni wastani wa 15m kwa mwezi...180m kwa mwaka....900m kwa miaka5 atakayokuwa bado analipa...dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]
 
Sasa kuuza K ndiyo uraha wa kuwa mwanamke??

Nadhani umewakosea heshima mama zetu...mwanamke staha, kujiheshimu na kujua nafasi yake. Hii ndiyo raha ya mwanamke.

Utakubali mama yetu(yako) aone raha kwa kujiuuza??????
Dah...bosi ..umefikiri vibaya...tena kwa kifupi sana huku ukikwepa ukweli mchungu....Raha ya K kwa mwanaume lazima uinunue...ukipewa bure unakuwa mtumwa. Kiasili wanawake wote wanauza K...na siyo kuwakosea heshima...Ni haki yao...ni asili yao. Tofauti labda...wengine wanauza kihalali ..na wengine kiharamu....na ni kwa mujibu wa mila na desturi zao...
Usijidanganye braza...unapolipa mahari...unamtoa dem out...unalipa bili za nyumbani .... au "babe nikuambie kitu..." kwa mwanamke asiyekuwa ndugu yako...kwa kifupi unanunua K...na hii siyo kosa...[emoji41]
 
Kwa hiyo mzee baba unashauri mama zetu, dada zetu na wake zetu waunge juhudi za kuuza bar huku wakiliwa na wakilipwa laki tisa kwa siku nao wawe na milioni 300 kwa account?

Wakwangu hapana aseeh...nyie chukueni wenu.
 
Hii story Sio chai wakuu na sikuambiwa kirahisi Kama mtu anavoweza kuzani kumbuka muuzaji ni msomi na anajua vitu vingi kuanzia siasa anaweza kuwapia ni member humu .......mpaka skendo za vigogo pia anaonekana Sio mgeni wa kupanda mwewe za nje ya Tz amewahi kufanya kazi yake Hiyo njee ya mipaka ya Tz na kulipwa kwa dolari.....mim niliamini kwani anakuambia hio bar kwake ni Kama ofisi ama kijiwe tu yeye anafanya kazi lakini halipwi mshahara hata Kama ni show off but ana exposure ya Dunia
 
Ohooo heading yako tu...


Kwahiyo baada ya kutusimulia haya unataka kutukana wanaume wenzako au[emoji3][emoji3]

Mkuu acha tamaa ungali na marinda
 
Kwa hiyo mzee baba unashauri mama zetu, dada zetu na wake zetu waunge juhudi za kuuza bar huku wakiliwa na wakilipwa laki tisa kwa siku nao wawe na milioni 300 kwa account?

Wakwangu hapana aseeh...nyie chukueni wenu.
Dah...bosi ....hujanielewa....maana yangu... vitabu vyote vya dini .... katiba za nchi zote..zinasisitiza juu ya "kumtunza" mwanamke. Usichokijua ni kwamba hizo gharama za "kumtunza" malipo yake ni K tu..ambavyo ni sawa kuinunua ..mwanamke anaweza kuamua awe na mteja mmoja au wateja wengi...ndiyo maana akiwa na mteja mmoja lazima waandikishiane mkataba awe na uhakika ili K yake isije mdodea...na hii siyo kwamba nawakosea adabu wanawake..ila jambo la kiasili...lisilozungumzwa....
Ila kinachosikitisha kwenye hii mikataba ya mteja mmoja... haiko wazi...kuna wanaume wanalipia lakini K wanapata kwa taabu sana..au wapate kwa masimango...au wasipate kabisa... na hawana pa kusemea wanabaki wanaugulia ndani kwa ndani...ila wasipo "watunza" hata siku moja tu..kutaitishwa vikao vya kila namna..majirani na ndugu wote watajua.....
Hadi sasa nimechanganyikiwa....kati ya muuzaji yule ambaye mna mkataba na unamlipa vizuri lakini bado anakuzungusha kukupa mzigo..au akupe kwa masharti au asikupe kabisa .....na yule ambaye anakupa mzigo na unamlipa hapohapo...yupi anafanya biashara halali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
 

Hi story Ni ya uongo 100%
Kuanzia mazingira ya eneo mpk Aina ya maelezo ulotoa Ni uongo wa kutunga kabisa
 
Kama hiyo hela kaipata kwa maisha hayo hawezi kuacha,hakuna binadamu anaeridhika na hela,wakina Mengi na Bakhressa wangeshafunga mabiasha yao kwa pesa walizonazo bank,hiyo ni hulka ya binadamu,hatutosheki...
Nami nimeshangaa, labda anatumia uchawi si bure
 

Itakuwa ulikuwa umelewa na yeye kalewa hamkuelewana labda. 300 million sio mchezo ujue, na kwa serikali hii ya Magufuli .
 
Dah...bosi ...bado mnakwepa ukweli..hivi hauwezi ajiri mtaalam wa kufua?kutunza watoto? kukusafishia nyumba? Je hayo ndiyo matendo ya ndoa? Je na ukiajiri mtu wa kufanya hayo hauwezi kumhudumia mkeo?... mnanichekesha sana...bado nasisitiza wanawake wanauza "tendo la ndoa"....na wala siyo kosa...na wala siyo kwamba nawakosea adabu...ni asili ya mwanadamu....japo wengi wanafikiri kwa uoga...lakini ndiyo ukweli mchungu kwa binadamu[emoji41]
 
Dah....bosi....UMEOA?
 
Unazani kwa nn wanawake wengi walikuwa wnakimbilia dodoma wakat wa bunge enzi za kaka mkubwa watu walikuwa wanagawa noti sio mchezo wadada ambao hawakujenga wakat ule pole yao
 
Shida so kuinunua bar wanawake walio wengi wanao jiuza na wanao jielewa ukiwauliza malengo yao watakwambia malengo makubwa walio nayo na kuacha hiyo kazi mpka atimize hayo malengo yake
 
Million 300 ya nyoko...!!? Acha masihara na hela ujue mkuu ...

Mtu anaye worth USD 150K. Kwenye Acc yake hawezi kubali kuliwa kwa laki 500K ... hapa una tunywesha chai mkuu "..
 
Upo sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…