Kuwa Mwanamke ni Raha Sana

Kuwa Mwanamke ni Raha Sana

Mkuu unapomtolea mahari au kumhudumia mkeo siyo kwamba unainunua k yake bali ni sehemu ya majukumu ambayo wanaume tuliagizwa kufanya kwa wake zetu yaani ni sawa tu ambavyo wao wanapika wanafua wanaosha vyombo wanafanya usafi wanatunza waume zao na wanalea watoto wao kazi ambazo kwa asilimia kubwa wanaume hatufanyi na bado tunaona kuwa hayo ni majukumu ya wanawake maana sisi wanaume tuliambiwa tutakula kwa jasho letu ila wanawake hawakuambiwa hivyo nadhani ni mgawanyo wa majukumu tu ndo unafanya haya yote yatokee

Kwa sababu sisi tumeng'ang'ania kuwa hizo kazi nilizozitaja hapo juu ni za kike sisi wanaume hatupaswi kufanya na hata tukifanya ni mara moja moja sana na ni kama tunasaidia tu basi hata wao wanaona kuwa kazi za kutafuta hela kuhudumia mke kulipa bills zote na kulipa mahitaji yote ya watoto ni za kwetu na wao hawapaswi kufanya na wakifanya wanasaidia tu japo wapo wanawake wanaofanya ila wanafanya kwa sababu tu hawana jinsi ila siyo majukumu yao kwahiyo mkuu wewe kumhudumia mkeo ambaye na yeye anakuhudumia huko siyo kununua k
Ndio kuinunua huko ...huo ndio ukweli wenyewe ambao ni mchungu ...ambao watu wengi wana ogopa kuumeza ..
 
Ukikutana naye tena mwambie afungue kiwanda ili atoe ajira kwa watanzania wenzake.

300 million hapa si ananunua cherehani za kupakiwa meli nzima.
 
Watu mmeshazoea kutumia haya maneno "ukweli mchungu" kujustify hoja zisizo za msingi bado sijaona hiyo biashara hapo iko wapi simply and clearly mwanaume kumhudumia mkeo ni jukumu lako kama ambavyo yeye ni jukumu lake kukutunza hiyo haiwezi kuwa biashara kama kila mtu anatimiza majukumu yake tatizo wanaume wa siku hizi tunakimbia majukumu yetu ndo maana tunaishia kujifariji kwa maneno kama haya yaani tunaona kama vile kuwapa wake zetu pesa tunawapendelea sana wakati kiuhalisia hiyo ndiyo hulka ya uanaume na ndo jukumu tuliloandikiwa wanaume ndo maana wanawake wakawekwa chini yetu
Dah...bosi ....hapa ulichofanya ni kunyongolota lugha tu.... kujaribu kukwepa kumeza uchungu...kwa kusingizia "kutunzwa"....
Kwa kifupi ....mwanaume mwenye kipato anaweza kumvumilia maisha yote....ila mwanamke mwenye kipato kumvumilia mwanaume asiye na kipato hazifiki siku 10...na K ndiyo huduma ya kwanza kabisa kukatwa....
...Ogopa nguvu ya K....inaweza kuua....kufilisi biashara kubwa.... Kusambaratisha familia hata Taifa......[emoji41]
 
Either umepewa chai, or wewe unatupatia sisi chai! Mimi hiyo chai imegoma!
 
Back
Top Bottom