Kuwa Mwanamke ni Raha Sana

Ndio kuinunua huko ...huo ndio ukweli wenyewe ambao ni mchungu ...ambao watu wengi wana ogopa kuumeza ..
 
Ukikutana naye tena mwambie afungue kiwanda ili atoe ajira kwa watanzania wenzake.

300 million hapa si ananunua cherehani za kupakiwa meli nzima.
 
Dah...bosi ....hapa ulichofanya ni kunyongolota lugha tu.... kujaribu kukwepa kumeza uchungu...kwa kusingizia "kutunzwa"....
Kwa kifupi ....mwanaume mwenye kipato anaweza kumvumilia maisha yote....ila mwanamke mwenye kipato kumvumilia mwanaume asiye na kipato hazifiki siku 10...na K ndiyo huduma ya kwanza kabisa kukatwa....
...Ogopa nguvu ya K....inaweza kuua....kufilisi biashara kubwa.... Kusambaratisha familia hata Taifa......[emoji41]
 
Either umepewa chai, or wewe unatupatia sisi chai! Mimi hiyo chai imegoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…