Kuwa mwanaume bila kuchepuka ni kazi sana. Hii ni kwa jinsi wanawake/Wake zetu mnavotuchukulia

Kuwa mwanaume bila kuchepuka ni kazi sana. Hii ni kwa jinsi wanawake/Wake zetu mnavotuchukulia

coder12

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
253
Reaction score
2,303
Hili swala la kuchepuka sisi tunalichukulia tofauti sana na wanawake. Nikigundua mwanamke wangu anachepuka ugomvi wake sio wa kitoto na uhusiano unafia hapo hapo.
Mwanamke anaweza gundua unachepuka halafu ikawa ishu ndogo tu ikaisha kirahisi sana.
Nina mwanamke wangu anafanya kazi mkoani, kila mwisho wa mwezi anakuja Dar kuspend time na mimi. Kama mara nne hivi akija anakuta vitu vinavyoashiria kuwa ninachepuka, mfano kanga za kike, chupi, msg kwenye simu na kuna kipindi alinikamata kwenye mazingira tata na mtoto wa chuo jirani hapa mtaani. Lakini atajinunisha hapo, akibembelezwa na kupigwa mashine anatulia kabisa na amani yote inarudi. Anasema kuchepuka kwangu sio ishu. Cha msingi ajue yeye ndo main chick.
Kuna mchepuko wangu mmoja kipindi flani nilikua nae. Ni binti mzuri mzuri kweli, alikua ametoka kuachana na bwanaake wa muda mrefu. Jamaa kimaisha alikua vizuri sana kuliko mimi. Binti anadai kamuacha jamaa kisa yupo serious sana na maisha na mwaka mzima wapo wote hajawahi kuhisi jamaa anachepuka, sio cha msg wala story wala chochote. Yani jamaa amefocus kwenye maisha tu. Binti kaboreka kashindwa kuvumilia kampiga chini jamaa.
Kwa hali hii tutaendelea tu kuchepuka.
 
bado uko mtoto. demu wako atakuwa analiwa huko mkoani tena sana tu, wewe mjinga unahisi hayuko serious kumbe anakuona fala tu
 
bado uko mtoto. demu wako atakuwa analiwa huko mkoani tena sana tu, wewe mjinga unahisi hayuko serious kumbe anakuona fala tu
Ndo maana nkasema siku nkijua tunaachana hapo hapo.
 
Unajiona mjanja sisi tunakuona fala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha. Ukichepuka nsijue tu. Nkijua ndo tunaishia hapo hapo.

Lkn nyie wanawake mnapenda drama. Kama uhusiano hauna drama kabisa either utacheat au utamuacha huyo jamaa. Na jamaa kuchepuka ni moja ya hizo drama.
Au nakosea
 
Unajidanganya, huyo keshakuona mjinga kuna kitu anapata kwako na ana mtu wake wewe anakutumia tu, Mwanamke ambaye yuko in love na wewe hawezi kubali kuchangia mwanaume.
 
Back
Top Bottom