Kila mwanaume angeweza kusoma hiki kitabu cha Esther Villar In her book "THE MANIPULATED MAN "
Mwanamke jinsi anavo rubuni mwanaume tangu zamani na kuwabadili kua watumwa wao wa milele wanawake hujifanya kwamba ndo wanao nyanyaswa na kutumikishwa wakati wao ndo wanyanyasaji wakubwa wa wanaume.
Anaanza na uchumba na vizawadi utii salamu nzuri wakati lengo lake ni kukuteka ungie kwenye kiganja chake umtumikie kwenye ndao. Mwanaume anakua mutumwa wa maisha kwa kuangaikia kulea kulisha kilinda kutibu kulaza mwanamke na kizazi chake, kwa kurubuniwa ns furaha ya mda mfupi tu (sex) isio zidi hata dakika 15, wana furahi na kupenda kumiliki ndume zima kwa ajiri yake tu kama kifa chake (women are teritorial) na hatiki kifaa chaje kitumikie mgine nikama mtu anae miliki mtumwa hataki huyu mtumwa afanye kazi kwa mtu mgine
Mwanamke ana fake maisha kujionyesha ni dhaifu katika jamii ili apewe attention na huruma wakutumikisha mwanaume, mwanaume ana funzwa kufia mwanamke kwa lolote na watoto mwanaume ni kiumbe kinacho nyanyaswa kuliko viumbe vyote duniani. Mali zote zinapewa au kugawanywa nusu kwa nusu akileta ujinga wakuomba off au talaka
Sherehe za ndoa ni kwa ajiri ya mwanamke ndugu na marafiki zake kupongezana kuweza kufanikiwa kujipatia mtumwa wa milele, wakati mwanaume kwenye hiyo ndoa anapugia wenzake mkono wa byee, mimi ni mesha enda katika utumwa nimenaswa usela ndo mwisho bye bye. Hapo hapo state iko tayari kumuajibisha akishindwa kuajibika kutoa huduma kwa boss wake kwa jina la walfare za watoto.
Kila anapotaka kujinasua mwanaume anatishwa kwanini unajifuria unajipikia una wosha vyombo unapiga deki mwenyewe hizo zote ni kujengea mwanaume hofu endelee kwenye utumwa.