mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kitabu kizuri duh, ngoja nitulie nikikague vizuri
Nilikuwa nataka nibishe ila kuna nondo
Nilikuwa nataka nibishe ila kuna nondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajifunze kusoma vitabu hivyo akili yako anaongezeka kua pana zaidi.Kitabu kizuri duh, ngoja nitulie nikikague vizuri
Nilikuwa nataka nibishe ila kuna nondo
Kwa hiyo mkuu we unataka tuweke usawa katika jambo hili. Mwanamke atafute kwa njia zake na mwanaume atafute kwa njia zake?Mkuu tayari ulisha andaliwa kisaikolojia kwamba unapaswa umuhudumie hiyo ndo unaitwa manipulation, ata wale watumwa walio pelekwa marekani alifikia hatua wa kajiona kwamba wanafanya kwa hiari yao, sio itumwa tena.
Ujumbe umenikamata vilivyo aseee apa nawachukia htr😆😆Ukisoma huo ujumbe unaweza kuwachukia wanawake forever unabaki kununua malaya tu
hahahaaaaa usiwachukie bali ishi nao kwa akili. Mleta uzi ametusanuaUjumbe umenikamata vilivyo aseee apa nawachukia htr😆😆
Uyu mleta Uzi kaleta mtafaruku mtaani Sasa ndio nini kusanua😃😃🖐️hahahaaaaa usiwachukie bali ishi nao kwa akili. Mleta uzi ametusanua
Huo ndo ukweli japo sie wanaume tulisha zoea nakufikiri ni ufahari kuhudumia mwanamke.Uyu mleta Uzi kaleta mtafaruku mtaani Sasa ndio nini kusanua[emoji2][emoji2][emoji2772]
Ninajivunia kuzaliwa mwanaume maana hekaheka nimeumbiwa ujue🤣Huo ndo ukweli japo sie wanaume tulisha zoea bakufokiri ni ufahari kuhudumia mwanamke.
Soma kitabu kwanza, hachana na porojo, hazitakusaidia wewe Mtumwa mwenzangu. Kwa harakaharaka pengine nikukumbushe hii kauli 'ALIYESIMAMA MBELE YENU NI RAIS, TENA RAIS MWANAMKE. Hii kauli uliielewaje wewe Mtumwa mwenzangu?Kwa hiyo mkuu we unataka tuweke usawa katika jambo hili. Mwanamke atafute kwa njia zake na mwanaume atafute kwa njia zake?
Kwa sababu huo mfumo mwingine unaamini sisi tunauamini tuko manipulated
Suala sio kuhudumia suala ni kwamba mwanamke analeta nini mezani in-return ya izo huduma.Mkuu mimi kumuhudumia mwanamke wangu ni utumwa? Sijalazimishwa wala kushurutishwa na mtu yoyote unauita utumwa?
Je yule anayefanya yote hayo huku moyo wake ukiwa hautaki naye utamuitaje?
Shida ni kwamba manipulations wanazofanya wanawake zimekubalika kijamii na kisheria lakini manipulations wanazofanya wanaume zinapingwa kila kona na ukiingia mkenge basi mwishoe ni jela au kutengwa na jamii, ndipo hapo sasa pa kuwa makini.Nimekisoma Hilo kitabu nimekimaliza kiukweli kabisa Hilo kitabu Kama mwanaume usipo kuwa makini hakikusaidii chochote zaidi kukongezea chuki kwa wanawake
yaani maudhui ya hiko kitabu kina present mwanaume Kama kiumbe helpless kitu ambacho sio kweli ni wanaume wenye ujinga binafsi na ushamba mwingi ndio ambao Wanakuwa manipulate na wanawake kwa kiasi hicho Kama walivyo elezea kwenye hiko kitabu
Ni kitabu kizuri kusoma hasahasa kwa manice guys kinafungua akili sana Ila athari zake ni chuki japo ndani ya kitabu kaelezea jinsi ya kutongoza na vitu vinginevyo Ila ukisoma hiko kitabu bila kukongezea akili zako binafsi utabaki na chuki tu na negative mindset
Binafsi na amini mpaka mtu unakuwa manipulated ni ujinga wako au tamaa zako mwenyewe ndio huu udhaifu mtu anatumia kumanipulate mtu mfano mzuri ni Wana siasa hutumia tamaa zetu za kutaka maisha marahisi na mazuri kushawishi watu wa kumpigia kura mwisho wa siku mnajua vizuri non baada ya hapo kinafata
Kwenye mahusiano Manipulation zipo pande zote inategemeana Nani Yuko vizuri kwenye Hilo game Haina jinsia
Kumbe tunapigwaHuo ndo ukweli japo sie wanaume tulisha zoea bakufokiri ni ufahari kuhudumia mwanamke.
Bro Ndio nimekuelewa Ila kwenye swala la kusema nimesema kuwa wanawake wote ni innocent hapana Mimi sijaamanisha hivyoShida ni kwamba manipulations wanazofanya wanawake zimekubalika kijamii na kisheria lakini manipulations wanazofanya wanaume zinapingwa kila kona na ukiingia mkenge basi mwishoe ni jela au kutengwa na jamii, ndipo hapo sasa pa kuwa makini.
Kwa sasa ni lazima kila mwanaume ajue kwamba wanawake wamejanjaluka na washajua mifumo ya kijamii na kisheria ina loopholes za kuwawezesha kupata pesa/utajiri kirahisi kutoka kwa mwanaume.
Ni bora kuchukua tahadhari(yaani ku-assume wanawake wote matapeli) hata usipokutana na hatari bado itakua salama, kuliko kwenda kibwege bwege(kufikiri wanawake ni innocents and non-cruel) halafu yaje kukuta mazito uko mbeleni.
Umeongea nene, manaake walisha tekwa kila kitu, wanatumikia mwanamke kwa jina pana la familia.Kuna watu ukitaka kwenda nao sawa pitia Kwa wake zao.
"Kuhusu suala kwenda jela baadhi hao wanaume wanatumia violence badala ya manipulation".....kumbuka kuna haina tatu za violence.Bro Ndio nimekuelewa Ila kwenye swala la kusema nimesema kuwa wanawake wote ni innocent hapana Mimi sijaamanisha hivyo
Mimi binafsi nimesema kwamba kwenye suala la manipulation ni jinsia zote kwenye mahusiano zinafanya haijalishi jinsia inategemeana uwezo na ujuzi wa kumanipulate mwenza wake mwenye ujuzi mwingi ndie anaeshinda
Kuhusu suala kwenda jela baadhi hao wanaume wanatumia violence badala ya manipulation kitu ambacho ni kosa kisheria ,violence sio manipulation huwezi kwenda jela kwa kutumia manipulation Hamna Sheria hio .
manipulation ni kitendo Cha kushawishi kwa kutumia uwongo ,vitisho au ahadi kumfanya mtu kufanya Jambo kwa manufaa yako binafsi bila muhusika kunafaika na chochote kutoka kwako baada ya kufanya Jambo ulilotaka .mfano; single mother anamwaaminsha mwanaume kulea watoto wasio wake atapata upendo na heshima kutoka kwa mama hao watoto na watoto wake kumbe Nia halisi ya huyo single mother ni kumtumia huyo mwanaume kulea watoto wake Huku yeye anaendeleza mahusiano na baba wa hao watoto.
Tofauti kabisa na violence ambayo ni kutumia njia ya kutumia kipigo kulazimisha mtu kufanya Jambo
Manipulation inahitaji kutumia saikolojia,minds game na udhaifu wa mtu kumfanya afanye Jambo kwa matakwa yako Ila kuhusu kutoa kipigo hilo sio manipulation
Shida iliyopo sisi wanaume wengi wetu tume base kwenye physical strength kuliko kutumia akili ndio maana wengi wetu tukikutana na manipulation Kama mindsgame tunakuwa rahisi kuwa manipulated hatujui haya mambo tunaona wanawake hawaeleweki kumbe ni sisi ndio tumeshindwa kuona manipulation inayofanyika ambayo Kama unaujuzi na manipulation game unaona mchezo kweupe Tena Kama ni smart unaweza hata uka counter mchezo bila ya kuanza kutumia nguvu,
Mkuu ukijifunza manipulation game kwa kina zaidi utaona manipulation ambayo wanatumia wanawake ni nyepesi na inaonekana haitaji kukaa kuumiza kichwa Ila Kama hujui chochote lazima utaogopa hata kuoa,
Uzuri ukijua manipulation ni ngumu Sana kuwa manipulated