Kuwa mwanaume shida sana...

Kuwa mwanaume shida sana...

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapana hata kidogo
Futa uzi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kuna watu wanazaliwa kwa namna km tatu hivi.

Waliochelewa kuzaliwa(zaidi ya miezi 9) wengi wao wakiwa na shida basi huwa ni shida haswa.

Waliowahi kuzaliwa kabla ya miezi kutimia(hawa husumbuliwa tu kile kipindi cha mwanzoni cha ukuaji wao lakini wanakuwa smart baadhi yao.

Waliozaliwa miezi kamili. Hawa wengi ni hii jamii ituzungukayo. Ila shida yake huathirika na jamii hii kubwa inayomzunguka.

Baadhi ya wazazi hukosea sana kujipangia mtoto wazi wazi kuwa ningepata dume au jike matokeo yake ndio haya.

Kila kitu kina sababu na kila kitu kipo kwa sababu.

Usilaumu maamuzi yoyote ya muumba wako kwa jambo alilokufanyia.
 
Kuwa mwanamke raha kweli

Tabu inakuja nikifikiria kwenye kuzaa pale,nasikia inauma kinyama mixer kuchunguliwa
haishindi maumivu wakati roho inatakuwacha mwili samahan dd hivi hujawai kuchunguliwa kabisa mpk umri huo
 
haishindi maumivu wakati roho inatakuwacha mwili samahan dd hivi hujawai kuchunguliwa kabisa mpk umri huo

Roho yako ilishawahi kutaka kuacha mwili?

Sijawahi kuchunguliwa kaka
 
Back
Top Bottom