Kuwa mwanaume sio jambo dogo

Simple and clear,kongole mkuu
 
We badala ujione fahari kuwa mwanaume unajilaumu kuwa mwanaume
Basi jiunge kule sisi wanaume tutakulisha bure, tutakula chochote unataka bure

Au ulitaka kumaanisha nini kusema kuwa mwanaume inakuchosha
Tumbafu kabisa
Umesoma kwa kupanic mzee, ebu soma tena! Hakuna mahali nimesema hivo!
 
Ni ngumu kutekeleza...πŸ˜‚
 
tena ukute na vichenchi havikauki mfukoni... unajikuta kama li-falme flani hivii, best feeling ever.
 
Huo muda hv nautoa wapi aisee..πŸ˜‚πŸ˜‚ nina zaidi ya mwezi hapa ndani hapadekiwi. Ili nisioshe vyombo ni bora nisipike kabisa.πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Madini haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…