Kuwa mwanaume sio jambo dogo

Kuwa mwanaume sio jambo dogo

Mkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.

Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.

Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.

Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.

Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.

Ni simple sana, jijali.
Simple and clear,kongole mkuu
 
We badala ujione fahari kuwa mwanaume unajilaumu kuwa mwanaume
Basi jiunge kule sisi wanaume tutakulisha bure, tutakula chochote unataka bure

Au ulitaka kumaanisha nini kusema kuwa mwanaume inakuchosha
Tumbafu kabisa
Umesoma kwa kupanic mzee, ebu soma tena! Hakuna mahali nimesema hivo!
 
Mkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.

Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.

Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.

Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.

Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.

Ni simple sana, jijali.
Ni ngumu kutekeleza...😂
 
tena ukute na vichenchi havikauki mfukoni... unajikuta kama li-falme flani hivii, best feeling ever.
 
Na ndio maana wanaume wote wanaojua kufua nguo zao vizuri,kujipikia vizuri na wasafi huwa wanachelewa kuoa

Tena huwakosoa sana wanawake kwenye mapishi na ufuaji,na mpaka umeolewa na mwanaume huyo ujue uwe umemzidi hivyo vyote

Wanaume wavivu ndiyo tuanongoza kuoa mpema
Huo muda hv nautoa wapi aisee..😂😂 nina zaidi ya mwezi hapa ndani hapadekiwi. Ili nisioshe vyombo ni bora nisipike kabisa.😂🙌
 
Mkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.

Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.

Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.

Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.

Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.

Ni simple sana, jijali.
Madini haya...
 
Back
Top Bottom