Kuwa mwanaume sio jambo dogo

Kuwa mwanaume sio jambo dogo

Kubwa zaidi huna deni NAE ila anakudai usipotoa , kwanini mtu usifoke ukipikiwa ugali ambao kumega ni mpaka usimame
 
Mkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.

Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.

Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.

Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.

Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.

Ni simple sana, jijali.
Umesahau ajue na kupiga nyeto ili madem wasimsumbue
 
Back
Top Bottom