Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Si na dereva kaniambia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢Kuna jamaa aligoma kushuka kwenye daladala akataka kupigana na kondakta kisa konda alimwambia hana 100 ya chenji ,jamaa akagoma akakaa kama dakika 5 hivi konda atafute chenji.
OMG!!Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Sina dereva kaniamvia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢
Sema nashukuru nimekuwa sikuhizi!
Ndiyo hiyo mental health ,hasira za kutouza umeenda kuhamishia kwa konda hahahaaaa ,ukipata changamoto unamuomba tu kondakta na wanasaidia sometimes.Mimi siwezi, ila kuna siku nimetoka dukani sijauza hata mia na home sina kila kitu, oyaaa afu konda ananiletea madharau, nilipigana na konda mpk leo najilaumu! Sina dereva kaniamvia nimekopwa nilimpiga na kichupa changu cha maji🫢
Sema nashukuru nimekuwa sikuhizi!
Wale walikuwa hawaelewi ni bangi bangi😃Ndiyo hiyo mental health ,hasira za kutouza umeenda kuhamishia kwa konda hahahaaaa ,ukipata changamoto unamuomba tu kondakta na wanasaidia sometimes.
Wewe huijui stress, kuna siku nimempiga mpiga debe na cm nikapelekwa polisi🙆🏽♀️I can't imagine huo mzozo wako na konda😁
Meno ya bandia mengi hivi😂sahii ungekuwa na mapengo dah
Meditation na master dating ni kitu muhimu sana...... nature is real ,nature is cureSometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart
mijini kilele zimekuwa nyingi sana.
mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
View attachment 3665623
Mzee hii ni lazimawewe unatakiwa kuwa na cabin
Nilikiwa nmetoka msibani, hasira tu nilikuw ajoblesa ndionnmemaliza chuo!hahah shida ilikua nini
Sawa Buda🤛Nazungumzia Global issue buda
Natoa tu utafanyaje😂Ningekuwa nakwambia se hebu toa hayo meno nikuone vile unakuwa mrembo😁
Tofautisha kati ya kufanya kazi porini na kukaa off-grid kwenye cabin ukiwa unataka kupata utulivu wa Akili.Hiyo sio tiba pekee
Sisi tuko na kufanya kazi maporini Kila siku, na huo utulivu hatuoni
Jitahidi akaunti iwe na Salio tu
Jipeleke vacation hapo kwa madiba ama hata hapo Kizimkazi ukalale hotel peke yako
Binafsi nakuwa na stress na kupungua mwili pamoja na kuongea peke yangu njiani iwapo Sina Salio kwenye akaunti
Tafuteni hela mkiwa vijana ili kukwepa aibu za Uzeeni