Kuwa na cabin ni muhimu sana.

Tofautisha kati ya kufanya kazi porini na kukaa off-grid kwenye cabin ukiwa unataka kupata utulivu wa Akili.

Kibunda ni muhimu na kina nafasi yake
Maoni yangu, sio lazima ukaishi kwenye. Cabins ili kupata utulivu

Zipo hotel za mtindo huo pia ambapo unaweza kuwa salama (hakuna wanyama wakali) lakini ukapata uhakika wa chakula bila kuishi huko porini

Kwenye kibunda tupo pamoja
 
Aisee wewe ni mgai gai mpka nje ya jf kumbe?
 
Unatafuta plot yako heka 3 heka 4 weka kisima kikubwa maji ya kutosha, solar, kinyumba cha kawaida tu, bustani, mifugo (kuku, mbuzi, ng'ombe), shambaboy wako 1 au wa2 kula maisha. Mwanaume anahitaji sana utulivu wa akili, nature is calling.
 
Sometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart

mijini kilele zimekuwa nyingi sana.

mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.


View attachment 3665623
Ngoja bwanamiti wakukute unalinda bangi, utagalagazwa mpaka makalio yasinyae.
Nakushauri ununue caravan kwani nayo ina kila kitu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…