MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
HUWEZI JUAKuna jamaa aligoma kushuka kwenye daladala akataka kupigana na kondakta kisa konda alimwambia hana 100 ya chenji ,jamaa akagoma akakaa kama dakika 5 hivi konda atafute chenji.
Huyu ndo shemeji yangu anaetamba na goma sahivi?
Ndiyo maana nasema ni matatizo ya afya ya akili kwa wote hao konda na jamaa....Kwani Konda akimpa 200 kuna shida au jamaa naye akasamehe 100 kuna shida? Kama hiyo 100 labda ingesaidia nauli kwa safari nyingine kwanini asitembee kwa miguu ili asave nauli nzima?HUWEZI JUA
Konda nao ukikosa mia anakujazia nzi ,asa inaonekana mwamba yashawahi mkuta akaona Kama mbwai iwe mbwai tuu!?
Mkuu that's almost impossible..
Namaanisha ya kuwa inabidi uwe na side hustle zitakazo kufanya uishi lavishingly namna hiyo...Ila maeneo mengi tulivu ni bei che inawezekana: Rungwe Mbeya, Tanga(Lushoto), Morogoro(Milima ya uluguru), Moshi(Siha, Marangu), Arusha(Meru, Monduli) sehemu zipo zimetulia sana.
Norway lazima almost kila familia iwe nacho kama hiki.
Mimi angalau weekend moja ya mwezi lazima nitoke mjini kusafiri kwenda mbali kubadiklsha mazingira.
Namaanisha ya kuwa inabidi uwe na side hustle zitakazo kufanya uishi lavishingly namna hiyo...
Sasa kwa kawaida average human kwa Africa akisema ateme anacho kifanya tu anapotea
Remote job bongo?That's true mkuu, huwezi kuishi completely off-grid. Nadhani kwa mtu anayefanya remote job inapendeza zaidi kuishi such life.
Inaweza kua ni mental health+undavaundavaNdiyo maana nasema ni matatizo ya afya ya akili kwa wote hao konda na jamaa....Kwani Konda akimpa 200 kuna shida au jamaa naye akasamehe 100 kuna shida? Kama hiyo 100 labda ingesaidia nauli kwa safari nyingine kwanini asitembee kwa miguu ili asave nauli nzima?
Remote job bongo?
Are you serious?Zipo mkuu content creators hao ambao wanatengeneza faceless video. Kuna jamaa mmoja mshakaji wangu sana, anampunga mzuri tu kwa kufanya YouTube na video zake ni full faceless.
Are you serious?
Acha kudanganya mkuu, faceless content? Na anapata wapi mapato? Kama ni platform kumlipa hawezi afford hayo maisja
Ok, ila hauwezi ni convince anavuta mpunga mrefuMcheck YouTube channel yake inaitwa Bongo Vibe hutomuona jamaa, Facebook pia yupo.
Ok, ila hauwezi ni convince anavuta mpunga mrefu
Wakati nyie mna visima vya bure sio😅We shangaa tu, watu wanahamia bush. Kama unataka peace of mind, bush ndio mahali pa kukaa. Almost every resource ni free, imagine watu wa mjini hadi maji mnauziwa looh 😁
Wa Jamaica wana msemo katika Jamaican Patois.Kwa wenzetu maisha off-grid ni kitu cha kawaida sana. Huku kwetu watu waliopo off-grid wanapaona pa kishamba wanakimbilia mjini.