Kuwa na furaha ndiyo amani yenyewe ya moyo

Kuwa na furaha ndiyo amani yenyewe ya moyo

drugdealer

Senior Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
133
Reaction score
245
Wakuu bila furaha amini kwamba hakuna amani ya moyo . je ? ni vitu gani wewe vinakupea furaha katika maisha yako ya kila siku .

Mimi binafsi nikawa na pesa mfukoni ndiyo furaha yangu ya kwanza afu kingine kula mpka nishibe .
 
Nikiona watu wangu wa karibu hasa wazazi wanafuraha napata amani ya moyo.

Pia nikiweza kuafford mambo nayoyataka bila kumbugudhi mtu nakuwa na amani tele.

Plus, hivi vitu vitatu nikipata nalala fofofo; mbususu tamu, chakula kitamu, na kibunda.
 
kama furaha ndio amani mkuu, Basi pesa haina uwezo wa kuleta amani, kama ni hivyo basi pesa haina uwezo wa kuleta furaha.

Kwako ukiwa na pesa unapata furaha, ni kwa sababu hizo pesa huna, ungekuwa nazo ungesema jambo lingine kabisa
 
Back
Top Bottom