kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
- Thread starter
- #41
Mimi sio mataga nitake radhi!Mataga tuelewane.
Biashara inakuzwa na kuboreshwa na mtoa huduma, wala sio mteja.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app

Kuna haja ya ttcl kuwa namba moja na waboreshe hudumaNi wazo zuri lakini serikali haijawahi kuwa na kitu kizuri angalia mfano TBC uwekezaji ni mkubwa ila huduma zao ni zaidi ya utopolo hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kuangalia na hao ttcl ndio walewale tu hawana jipya
Noted!Nizungumze kizalendo kabisa kuhusu hii Ttcl hii ni kampuni ya Serikali inatutosha kabisa katika suala la mawasiliano na ushindani nchini
Uwekezaji wa ttcl ukiangalia walivyosambaza cable kila pahala sio uwekezaji mdogo ni uwekezaji mkubwa sana
Kiukweli sasa hivi ttcl inapatikana naweza kusema ni nchi nzima almost maeneo mengi niliyotembelea ipo
Cha ajabu na kinachoniliza ni watumiaji wachache, hawa jamaa wana ofisi za kutosha, kila kitu yaani, wanauhakika wa kufanya kazi zao na ulinzi nzuri wa kisera maana serikali inalea hili shirika
Ttcl waboreshe network zao,,,,wasambaze 4g zaidi....Ikiwezekana waje na 5g.....Iwe ni lazima kila mtanzania kumiliki line ya TTCL ...naam isiwe ni lazima kutumia lakini walau iwe ni lazima kila mtu kusajili line ya Ttcl
Faida ya hii ni kwamba
1.Ttcl itapata mamilioni ya wateja
2.Mapato yataongezeka maradufu
3.Mabando yatashuka na yatakua bei chee
4.Italeta ushindani na makampuni mengine nayo itabidi waanze kuwaza mbinu za kuendelea kushindana ikiwemo kutazama vifurushi upya nk...
Ttcl ikiwa imara na inayotengeneza kipato ikiwa na usimamizi nzuri, serikali inaweza kuvuna na kupata matrilioni ya pesa kutoka kwenye hili shirika....nawaambia ttcl inaweza ikafanya tukapunguza kutegemea misaada kwa kiasi fulani maana tutapata mapato makubwa sana kupitia ttcl
Halafu hili litaenda sambamba na kushusha vifurushi viwe bei chee zaidi...yakifanyika haya tutarajie Ttcl pesa zikizagaa kila mahali hadi vijijini
Mfano sasahv ukienda vijijin huko wilayani inakamata vizuri tu tena inasoma 3G na H+ yenye speed balaa,ofisi zipo,minara ipo lakini cha ajabu unakuta watumiaji kwa wilaya husika hawafiki hata watu 400 hili linaumiza sana, na hapo serikali imewekeza sana huku ttcl, fedha nyingi sana zimetumika,mikongo ya taifa inajengwa ya mabilioni
Inabidi tuvae roho ngumu tu kuhusu kuinyanyua ttcl kuwa na line ya ttcl iwe ni lazima kwa kila mtanzania kwa manufaa ya nchi yetu
Unaogopa kupoteza kazi...Nizungumze kizalendo kabisa kuhusu hii Ttcl hii ni kampuni ya Serikali inatutosha kabisa katika suala la mawasiliano na ushindani nchini