Kuwa na laini ya TTCL iwe ni lazima kwa watanzania wote TTCL iimarishwe zaidi

TTCL wamelala kama bus za mwendokasi,wamepewa KILA kitu kuanzia abiria,stand, magari,nk still wanashindwa
 
Ni wazo zuri lakini serikali haijawahi kuwa na kitu kizuri angalia mfano TBC uwekezaji ni mkubwa ila huduma zao ni zaidi ya utopolo hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kuangalia na hao ttcl ndio walewale tu hawana jipya
Kuna haja ya ttcl kuwa namba moja na waboreshe huduma
 
Noted!
 
Unaogopa kupoteza kazi...
 
Hata sijasoma mada yote zaidi ya kichwa cha habari.

Ila wewe mleta mada nakuuliza hivi unaielewa hiyo kampuni uliyotaja?
Inamanufaa gani kwa watanzania hadi uwepo ulazima wakuwa na laini yake?
Kwani watatununulia simu?
Vipi kuhusu salio watatuwekea?
Naona kama watu wanaanza kuvurugana tena wakati tushazoea tozo tumetulia unakuja na mambo ya mkampuni mfu
 
Vijana wajinga hivi ndo matunda ya miaka 50 ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…