Pre GE2025 Kuwa na mabango mengi ya picha ya Rais kila mahali, ndiyo maendeleo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Kuna jambo la kushangaza ambalo limeshamiri sana kuanzia mwaka 2016, nalo ni mabango ya picha ya Rais kila mahali. Tabia hii haikuwahi kuonekana wakati wa utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete.

Najiuliza sana, kama Taifa tunanufaika nini na uwepo wa picha za Rais kila sehemu? Haya mabango ya picha ya Rais yanagharimu kiasi gani cha pesa za wananchi? Hawa wananchi walipa kpdi wananufaikaje na haya mabango? Au kuna wafisadi huko Serikali yanaiba pesa za wananchi kupitia haya mabango? Kama mabango yana faida kwa Taifa, mbona hatuoni hayo mambo kwenye mataifa yote yaliyoendelea? Au tumemfanya Rais ni biashara, hivyo atangazwe kama inavyotangazwa soda ya coca cola? Hivi kuna mtanzania asiyemjua Rais Samia, hadi atangazwe kwa kiwango hicho?

Kwa nini Waafrika tunafanya mambo kama wendawazimu? Kwa nini mambo ya muhimu tunayapa nafasi ndogo sana, lakini yale ya kipuuzi tunayapa umuhimu mkubwa kiasi cha kuchezea pesa ya umma?

Nchi ipo kwenye msiba mkubwa maana waliotakiwa kuwa na hekima zaidi, wamenyimwa hata ile hekima ndogo kabisa, na hivyo kutapanya hata kidogo kinachopatikana. Kuna wakati ilisikika kauli kuwa wananchi hawalipi kodi, kama jweli wananchi hawalipi kodi, hii pesa ya kuchezea namna hii inatoka wapi?
 
Ni kwa vile wote wameingia madarakani kwa fluk .
 
Nchi ipo kwenye msiba mkubwa maana waliotakiwa kuwa na hekima zaidi, wamenyimwa hata ile hekima ndogo kabisa, na hivyo kutapanya hata kidogo kinachopatikana. Kuna wakati ilisikika kauli kuwa wananchi hawalipi kodi, kama jweli wananchi hawalipi kodi, hii pesa ya kuchezea namna hii inatoka wapi?📌🔨
 
Sijui Wazee walimaanisha nini kusema Kizuri chajiuza....🙌

Lakini kwenye Marketing strategy wanasema kadri bidhaa inavyotamkika midomoni mwa Walaji ndiyo inavyouzika ...😜

Imbombo ngafu 🙌
 
Tabia hii haikuwahi kuonekana wakati wa utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete.

Nchi imekuwa ya ki Sultani, ambapo raia wote wanatakiwa kukumbana na picha ya mfalme au Malkia aliyejitisha uhusika huo kila akitupa macho popote ,bila kujali nchi hii ni Jamhuri/ Republic kikatiba wala siyo ya kisultani kama nchi zingine zenye wafalme na malkia.
 
Pesa za mabango angeweza kufunga taa mababarani wananchi wakiona mwanga wanamkumbuka.
Umenena kweli tupu. Mtawala akitengeneza mambo makubwa wakati wa utawala wake, ni mabango makubwa ya milele, kuliko mabango ya picha ambayo mtawala akishatoka, yanaondolewa na kutupwa jalalani.
 
HIi nchi tulikosea sana kuluhusu watu wapumbavu ndo wafanye siasa wenye akili walikaa pembeni kwa kuogopa kutunanwa na kudhalilishwa na wapumbavu ndo matokeo yake leo wenye akili wamejiweka pembeni na siasa ila wapayukaji ndo wako kwenye siasa
 
Umenena kweli tupu. Mtawala akitengeneza mambo makubwa wakati wa utawala wake, ni mabango makubwa ya milele, kuliko mabango ya picha ambayo mtawala akishatoka, yanaondolewa na kutupwa jalalani.
Surely . Nimekuelewa. Kama moi japo alikuwa na ka udikteta lakini wakenya wanamkumbuka kwa kutoa maziwa kwa watoto wote mashuleni. Kwenye hili wakenya wanamkumbuka sana mzee huyu kwa hili.
 
Back
Top Bottom