Kuwa na mahusiano na watoto ni kazi kweli kweli japo they are very sweety

Nimecheka sana.
Yaani miamala ya tigo pesa daily na galaxy juu alafu hujapata kitu!!!!
Daaaa huyo binti ni tapeli
Hawa watoto ukiwapata wasumbufu balaa, utashangaa kila wakati anapiga simu, anakutafuta muonane, kama ni jirani utaomba po. Ni wasumbufu.
 
Umenikumbusha mbaliiii,
Ila wanaume mmeumbwa kwa aina yenu. Unavunja safari yako unashuka kituo si chako ili uimbishe demu. Hahahahahhaaa
Nililipiwa sana nauli za daladala miaka ile niko kigori.
Ha ha ha haaaa... Haya yashatokea sana, nauli, bia, nguo, viatu! Ila wanawake nyinyi!
 
Kiongozi wa nyumba,mume wa MTU,baba wa watoto...aisee wana hasara
 
Umechunwa hela kibao na samsung juu umehonga mzigo hujala kudadeki uanaume kazi sana hapo ukute mkeo ana kisimu cha torch cha elfu 25 na mama yako mzazi anapiga simu kwa jirani. Watoto wakiomba hela ya tuition vurugu
 
Kuliwa umeliwa na mjadala umeanzisha.

Hebu tuambie kwann tusikuuze kwa mkopo nchi nyinginezo?
 
Ukute mama yake anajua kila kitu walikuwa wanakuchora
Afu ukute mama ndio anatoa ramani kwa binti yake, hili fala linaliwa kidizaini hii.
saa ingine unaweza jikuta una-chat na mama mtu huku unamwambia fanaya siri mama asijue nakutumia hizi pesa.
 
Bora hakuna lililotokea, hujui unaepushwa na janga gani.
 
[emoji23][emoji23]wewe baba ukomee angekuwa mwanao ndo anafanyiwa ivyo
 
Duh!
Thanks ila sasa mm kula chocho siwezi ni full respect but nitaweka full tinted nione itakavyokuwa on the car.
 
Uko kwenye tizi la utunzi wa hadithi/stori. Unajitahidi, ukiendelea hivi hivi utakuja kuwa bonge la mtunzi Mkuu.
 
Unajiabisha mkuu, hapo umezidiwa akili na mtoto. Halafu uache uongo umesema mawasiliano ulikuwa shida hiyo miamala ulifanyaje?
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…