PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Umekutana na mtoto wa mjini ulijua myeremko eeehhh, mko 5 mnaomtunza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekutana na mtoto wa mjini ulijua myeremko eeehhh, mko 5 mnaomtunza
We tambaza pale mwaka gani alisoma mimi nilisoma hapo 2017Dah, umenikumbusha sana, nikiwaga chuo second year kuna mtoto alikua form 5 kisu hatari, alikuaga ananizungusha sana, yaani unaweza kupanda daladala mkakutane maeneo flani Mara hapatikani, Mara simu inaita tu, badae anakujibu simple tu "nilipitiwa na usingizi"
Nishawahi kukoswakoswa na mbwa kisa kumfuatilia yeye! Alikua anasoma TAMBAZA.