Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Some of wanawake ndivyo walivyo ila wengine uwa kuta na situation io coz wanakuwa wanatumia njia za uzaz wa mpango kma vipandikiz au kijiti wanavyoviweka kuzuia mimba so kile kipandikiz wakat wa tendo la ndoa huwa kinatoa ute ute na maji mengi ili kuzuia mbegu za mwanaume zisitengeneze mtoto, mchunguze mwanamke wako kma anacho icho kijiti au kipandikizi.
Nashangaa....????
Hili linakuwaje ,mwanamke kutoa maji mengi ukeni wakati unamuandaa,na pia uume kupita bila hata kukwama popote pale. Je, ni tatizo la kiafya? .au unakuta ametoka kuchepuka nje?