mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto.
Hivi kweli waliozaliwa familia Moja hawagombani na hawagombei Mali, nimeshtuka mtu ananiambia upendo unakosekana hivi ni kweli ndugu wasiopendana huwa wanatoka kwa mama tofauti.
Hivi ndoa zinazovunjika na wanaogombana ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, na wanaopata ukimwi na kufa ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, kwamba death is designed for polygamist tu, ukiwa na mke mmoja hufi Wala hupati shida duniani, eti wakubwa!.