Kuwa na mke mmoja na kuzaa watoto na mwanamke mmoja mnakua mmeona nini?

Kuwa na mke mmoja na kuzaa watoto na mwanamke mmoja mnakua mmeona nini?

Suala la Kuwa na Mke zaidi ya Mmoja sio lelemala, na linahitaji Mwanaume Mbabe. Ukiwa nice guy huwezi kutoboa.

Yaani Mke hana hili wala lile, unampelekea kumtambulisha Mke mwenzake.

Wakati huo huo umeandaa nyumba kwaajili ya huyo Mke wa pili kwenda kuishi.

Baada ya hapo ni ratiba tu za kwenda Kulala na kula kadri ulivyowatambulisha.

Kama umesoma Genetics, Kuna umuhimu Mkubwa sana wa kuchanganya damu kwenye Uzao wako unless ubahatike tu.
Vijana wa kataa ndpa hawataki hata mmpja, wewe ushaongelea wa pili?
 
Vijana wa kataa ndpa hawataki hata mmpja, wewe ushaongelea wa pili?
Nimegundua wengi wa Kataa Ndoa ni wale Unresponsible fathers.

Ni Vijana wabinafsi ambao hawajajua kwamba familia ndiyo msingi imara wa kuzalisha Viongozi wa Kidini/Serikali/Makampuni imara.

Kama utashindwa kutunza mke wa angalau mtoto mmoja basi hata maisha yenyewe yatamshinda.
 
Vijana tunalinda vibunda vyetu mkuu fainali uzeeni si umeona ya ashraf hakimi.
 
Vijana tunalinda vibunda vyetu mkuu fainali uzeeni si umeona ya ashraf hakimi.
Unaweza kulinda Kibunda hata baada ya Kuoa na kuwa na Familia.

Mfano unaweza kuwa na akaunti yako ya Siri ambayo unatupia humo hela kupitia biashara ndogo ndogo ambazo umeanzisha, labda umeajiri Vijana watatu wanakaanga Chipsi ambapo mmekubaliana wanakuingizia Kila Siku shilingi 25k Kila mmoja

Hiyo ni hela nje ya Kipato chako rasmi ambacho Mkeo anakijua.

Hiyo akaunti Kwa Mwaka haikosi milioni 15 nakwambia.

Kwahiyo unaweza Kuoa na bado ukaendelea kutunisha akaunti zako boss
 
Na iwapo mtachelea kwamba hamtafanya usawa kwa mayatima wa kike ambao wako chini ya usimamizi wenu, kwa kutowapa mahari yao kama wanawake wengine, basi waacheni na oeni waliowapendeza kati ya wanawake wengine, wawili au watatu au wanne. Na iwapo mtaogopa kutofanya uadilifu kati yao, basi toshekeni na mke mmoja, au toshekeni kwa mliowamiliki. Hilo, nililolifanya ni Sheria kwenu kuhusu mayatima wa kike na kuhusu kuoa mke mmoja hadi wane au kuwa na mke mmoja tu au mjakazi aliyemlilikiwa na kutiwa usuriani, liko karibu zaidi na kutofanya ujeuri na kuvuka mipaka.
 
Kuzaa wototo wengi bila utaratibu Ni ukosefu wa afya ya akili. Yani wewe Ni kichaa. Hakuna msomi na mwenye kipato kizuri anayezaa bila utaratibu. Leo hii tanzania nimasikini kwasabu ya watu kutokuwa aware na uzazi wa mpango
 
Bangoshooo....

Na hivi wanaume wanavyopigana miti....zaa uwezavyo unusurike na hili janga
 
Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto.

Hivi kweli waliozaliwa familia Moja hawagombani na hawagombei Mali, nimeshtuka mtu ananiambia upendo unakosekana hivi ni kweli ndugu wasiopendana huwa wanatoka kwa mama tofauti.

Hivi ndoa zinazovunjika na wanaogombana ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, na wanaopata ukimwi na kufa ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, kwamba death is designed for polygamist tu, ukiwa na mke mmoja hufi Wala hupati shida duniani, eti wakubwa!.
Hivi mkuu unadhani kuzaa na wanawake tofauti ni kuchagua?
.hili hutokea automatically..

Huwezi kuendelea kulima shamba lenye mgogoro.
 
Nimegundua wengi wa Kataa Ndoa ni wale Unresponsible fathers.

Ni Vijana wabinafsi ambao hawajajua kwamba familia ndiyo msingi imara wa kuzalisha Viongozi wa Kidini/Serikali/Makampuni imara.

Kama utashindwa kutunza mke wa angalau mtoto mmoja basi hata maisha yenyewe yatamshinda.
Sio kweli , Tanzania ni nchi ya kipuuzi na hizi sifa ulizoipa ndoa hazijaleta positive impacts yoyote nchini.

Ifike muda muwe na points za kutetea ndoa sio hizi mnazoleta.
 
Sio kweli , Tanzania ni nchi ya kipuuzi na hizi sifa ulizoipa ndoa hazijaleta positive impacts yoyote nchini.

Ifike muda muwe na points za kutetea ndoa sio hizi mnazoleta.
Samahani Mkuu, umebahatika kulelewa na Wazazi wote wawili ama ulilelewa na Mama Pekee?

Unadhani ni sahihi ukae bila ndoa/familia?

Umewahi kuufukiria upweke wa maisha yako ya Uzeeni pasipokuwa na mtu wa kukujulia japo hali na kuulizia umeamkaje?
 
Unawaza upweke as if huyo mke utakufa nae.

Kama unaoa kwa sababu ya upweke unazingua.

Unafahamu kuna kufa kati ya mume aama mke au wewe unafikiri wote mtaenda kaburini wakati mmoja.
 
Unawaza upweke as if huyo mke utakufa nae.

Kama unaoa kwa sababu ya upweke unazingua.

Unafahamu kuna kufa kati ya mume aama mke au wewe unafikiri wote mtaenda kaburini wakati mmoja.
Najua naweza kuanza kufa Mimi ama Mke wangu, lakini haindoi umuhimu wa kuishi na Mke. Mkiishi na Mke, inasaidia sana kwenye malezi ya watoto.

Binafsi Mzee wangu alifariki nikiwa mdogo sana, hivyo niliona changamoto bi Mkubwa wetu alizopitia katika kutulea Watoto wa kiume.

Malezi ya mtoto Kwa namna ya Singo parent yanachangamoto nyingi, tena miaka hii ndiyo zimezidi

Kuna namna mtoto anakuwa comfortable akiwaona Wazazi wote wawili, akikosea Baba anamshughulikia ama Mama pia.

Imagine unabeba watoto wenu wewe na Mkeo mnaenda nao Church Jumapili ama Ijumaa Msikitini.
 
Back
Top Bottom