mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nataka nisiendelee kukosea eti maana kama ntapata hoja nzitoSasa umeshakosea utajifunzaje hapo?
Point muhimuKama huna kipato cha kueleweka, Kua na mke zaidi ya mmoja au Kua na familia zaidi ya moja, ni ujinga na ubinafsi wa hali ya juu, kwa sababu watakao teseka kwa maamuzi yako ya kijinga ni Hao wanawake, watoto utakao wazaa, na Ndugu zako ambao watakua wajomba na mashangazi kwa hao watoto.
So fikiria zaidi in terms ya kipato kabla hujaanzisha hicho kijiji.
Ukiwa na mtoto mmoja atagombana na nani?Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto.
Hivi kweli waliozaliwa familia Moja hawagombani na hawagombei Mali, nimeshituka mtu ananiambia upendo unakosekana hivi ni kweli ndugu wasiopendana Huwa wanatoka kwa mama tofauti.
Hivi ndoa zinazovunjika na wanaogombana ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, na wanaopata ukimwi na kufa ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, kwamba death is designed for polygamist tu, UKiwa na mke mmoja hufi Wala hupat shida duniani eti wakubwa.
Na nafsi yake mkuu,upweke ni kitu kibaya Sana .Ongeza mmoja tuUkiwa na mtoto mmoja atagombana na nani?
Alokwambia ana upweke nani?Na nafsi yake mkuu,upweke ni kitu kibaya Sana .Ongeza mmoja tu
Huwezi jua lakini angalia hata thread za waliozaliwa peke yao humu....hulalamika kujihisi upweke mkuuAlokwambia ana upweke nani?
Tatizo mnaishi kwa mazoea sana.
Maelezo yote haya ni kutafuta uhalali wa kosa lako la kuzaa na kila mwanamke aliyepita mbele yako. Roho inakusuta ndo maana unaafuta wa kukuunga mkono kwa ulichofanya!!Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto.
Hivi kweli waliozaliwa familia Moja hawagombani na hawagombei Mali, nimeshtuka mtu ananiambia upendo unakosekana hivi ni kweli ndugu wasiopendana huwa wanatoka kwa mama tofauti.
Hivi ndoa zinazovunjika na wanaogombana ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, na wanaopata ukimwi na kufa ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, kwamba death is designed for polygamist tu, ukiwa na mke mmoja hufi Wala hupati shida duniani, eti wakubwa!.
Kila mtu ni tofauti.Huwezi jua lakini angalia hata thread za waliozaliwa peke yao humu....hulalamika kujihisi upweke mkuu
Baba wa misuliš¤£Sijui wapi nitie hoja, maana naona umegusia:-
Kifo
Mke
Watoto
Amani
Na kadhalika nakadhalika...
Nimekuelewa mkuuKila mtu ni tofauti.
Ukiwa na vimelea vya upweke hata ukizaliwa familia ya watoto wengi kama ya Chifu Burito utajiona mpweke tu.