Vijana wa kataa ndpa hawataki hata mmpja, wewe ushaongelea wa pili?Suala la Kuwa na Mke zaidi ya Mmoja sio lelemala, na linahitaji Mwanaume Mbabe. Ukiwa nice guy huwezi kutoboa.
Yaani Mke hana hili wala lile, unampelekea kumtambulisha Mke mwenzake.
Wakati huo huo umeandaa nyumba kwaajili ya huyo Mke wa pili kwenda kuishi.
Baada ya hapo ni ratiba tu za kwenda Kulala na kula kadri ulivyowatambulisha.
Kama umesoma Genetics, Kuna umuhimu Mkubwa sana wa kuchanganya damu kwenye Uzao wako unless ubahatike tu.
Nimegundua wengi wa Kataa Ndoa ni wale Unresponsible fathers.Vijana wa kataa ndpa hawataki hata mmpja, wewe ushaongelea wa pili?
Vijana tunalinda vibunda vyetu mkuu fainali uzeeni si umeona ya ashraf hakimi.Nimegundua wengi wa Kataa Ndoa ni wale Unresponsible fathers.
Ni Vijana wabinafsi ambao hawajajua kwamba familia ndiyo msingi imara wa kuzalisha Viongozi wa Kidini/Serikali/Makampuni imara.
Kama utashindwa kutunza mke wa angalau mtoto mmoja basi hata maisha yenyewe yatamshinda.
Unaweza kulinda Kibunda hata baada ya Kuoa na kuwa na Familia.Vijana tunalinda vibunda vyetu mkuu fainali uzeeni si umeona ya ashraf hakimi.
Misuli ya imani...😜Baba wa misuli🤣
Misuli ya ku push mkuu🤣Misuli ya imani...😜
Watoto ni baraka lo tuzae tu!
Bangoshooo....Kuzaa wototo wengi bila utaratibu Ni ukosefu wa afya ya akili. Yani wewe Ni kichaa. Hakuna msomi na mwenye kipato kizuri anayezaa bila utaratibu. Leo hii tanzania nimasikini kwasabu ya watu kutokuwa aware na uzazi wa mpango
Wale waleBangoshooo....
Na hivi wanaume wanavyopigana miti....zaa uwezavyo unusurike na hili janga
Hivi mkuu unadhani kuzaa na wanawake tofauti ni kuchagua?Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto.
Hivi kweli waliozaliwa familia Moja hawagombani na hawagombei Mali, nimeshtuka mtu ananiambia upendo unakosekana hivi ni kweli ndugu wasiopendana huwa wanatoka kwa mama tofauti.
Hivi ndoa zinazovunjika na wanaogombana ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, na wanaopata ukimwi na kufa ni wale wenye mke zaidi ya mmoja tu, kwamba death is designed for polygamist tu, ukiwa na mke mmoja hufi Wala hupati shida duniani, eti wakubwa!.
Sio kweli , Tanzania ni nchi ya kipuuzi na hizi sifa ulizoipa ndoa hazijaleta positive impacts yoyote nchini.Nimegundua wengi wa Kataa Ndoa ni wale Unresponsible fathers.
Ni Vijana wabinafsi ambao hawajajua kwamba familia ndiyo msingi imara wa kuzalisha Viongozi wa Kidini/Serikali/Makampuni imara.
Kama utashindwa kutunza mke wa angalau mtoto mmoja basi hata maisha yenyewe yatamshinda.
Samahani Mkuu, umebahatika kulelewa na Wazazi wote wawili ama ulilelewa na Mama Pekee?Sio kweli , Tanzania ni nchi ya kipuuzi na hizi sifa ulizoipa ndoa hazijaleta positive impacts yoyote nchini.
Ifike muda muwe na points za kutetea ndoa sio hizi mnazoleta.
Unawaza upweke as if huyo mke utakufa nae.Samahani Mkuu, umebahatika kulelewa na Wazazi wote wawili ama ulilelewa na Mama Pekee?
Unadhani ni sahihi ukae bila ndoa/familia?
Umewahi kuufukiria upweke wa maisha yako ya Uzeeni pasipokuwa na mtu wa kukujulia japo hali na kuulizia umeamkaje?
Najua naweza kuanza kufa Mimi ama Mke wangu, lakini haindoi umuhimu wa kuishi na Mke. Mkiishi na Mke, inasaidia sana kwenye malezi ya watoto.Unawaza upweke as if huyo mke utakufa nae.
Kama unaoa kwa sababu ya upweke unazingua.
Unafahamu kuna kufa kati ya mume aama mke au wewe unafikiri wote mtaenda kaburini wakati mmoja.