Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Natumai u Mzima khabity wangu😍😍😍😍😍Wangu mimi pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumai u Mzima khabity wangu😍😍😍😍😍Wangu mimi pekee
Hii hii. Unaonaje tukaonyesha mfano!?Jiefu hii hii au nyingine?
Unamuita mwenzioa khabity?Natumai u Mzima khabity wangu😍😍
Hii woiiii mara zote inapendwaga na jinsia pinzani na mimi siku zote nikajuaga wewe ni mwambaWoiiiiiii kama umeshasema hivyo Acha niache[emoji119]
Una Elewa maana ya khabity ??, Ama u haven't smoked your damn Russian cigarettes.Unamuita mwenzioa khabity?
Mtafute yule Jamaa, uliye m sponsor visungura 😀😆Kumbe .....si mtoto wa mtu aje sasa nimpende 🤔
Atanichuna aniue....mi nataka mtu anikabidhi moyo na roho nimpende jumla jumlaMtafute yule Jamaa, uliye m sponsor visungura 😀😆
Wa Afya tele 😍Natumai u Mzima khabity wangu😍😍
Nime furahi kusikia Hilo😍😍Wa Afya tele 😍
Sawa tajiriSee
Ngoja tuone mwisho wake
Tafuta wa reja reja 😆😀Atanichuna aniue....mi nataka mtu anikabidhi moyo na roho nimpende jumla jumla
Wewe swaga zako lazima wakuogope usije ukawabinya vijambio maana una sound kama upo af kama sio vile vile.Kumbe .....si mtoto wa mtu aje sasa nimpende 🤔
Si unikabidhi moyo nkupende hadi unigaie nyumba ya familiaWewe swaga zako lazima wakuogope usije ukawabinya vijambio maana una sound kama upo af kama sio vile vile.
Sasa ukigawa nyumba ya urithi mi nitakuweka wap maana sie vibenten tunapenda kulelewaSi unikabidhi moyo nkupende hadi unigaie nyumba ya familia
Sasa nikigawa nyumba ya urithi mi nitakuweka wap maana sie vibenten tunapenda kulelewaSi unikabidhi moyo nkupende hadi unigaie nyumba ya familia
Harakati tu za mtu mweusi kama ujuavyo. Ila now nimerudi,tuko pamoja sana mrembo.Mbona me mpole sana, sina ukorofi.
Ulipotelea wapi?
Yawanyonye damu 🤣🤣Tena warushiwe Yale majini ya mayele😁
I'm happy umerudi safe. Welcome back dearHarakati tu za mtu mweusi kama ujuavyo. Ila now nimerudi,tuko pamoja sana mrembo.