Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Wacha nikae vizuri humu labda na mimi ipo siku nitaleta uzi wa kudondokeana na mwana Jf👩‍❤️‍💋‍👨👩‍❤️‍💋‍👨
Na wakaka wa humu wanajua kuLove 🙊
Na ukidondokewa yan mpk PM za salam unajionea tabu kujibu, mtu anakuPm kumbe lengo aulize njia ya kwenda jukwaa la mapishi. 🤣🤣
 
Sema JF kama sehemu yengine kuna watu wazuri, unaoweza kuwa na mahusiano nao na mambo yakaenda poa tuu.
Muhimu muendane.

Upande wa pili kuna watu wa hovyo sana. ukiingia kwenye anga zao umekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…