Kuwa na mpenzi JF inawezekana šŸ’•

Kuwa na mpenzi JF inawezekana šŸ’•

Mwisho wa siku mtakuja kuanikana hapa tutajua hadi lodge mliyoenda na hela mlizopeana…
Anyways Hongera dihaā¤ļø
Ninachoamini huku kuna watu wana mahusiano..pengine walishaachana na wapenzi wao humu na kupata wapenzi wengine humu humu jf lakin huwezi sikia upuuzi wowote mara yule yuko hivi mara vilešŸ™†ā€ā™€ļøšŸ’šŸ’šŸ’.

Basi tu kuna watu wanajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom