Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Kwamba amepata mchepuko auš¤£š¤£mbona hasemi sisi tunawaza mbališ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba amepata mchepuko auš¤£š¤£mbona hasemi sisi tunawaza mbališ
habari yako To yeyeYatatoka tu automatically
Duh!Suhendra si umeolewa wewe?
Au niulete ule uzi uzuri wa jf nyuzi hazifutiki
au ni raraa reree kamu-overdose likesš¤£Kwamba amepata mchepuko auš¤£š¤£
raraa reree mtu mbad, anaanziaga mbali sana na likes zake adi mdada unajihisi uko heavenš¤£š¤£au ni raraa reree kamu-overdose likesš¤£
.vunga.Ndoa Zina mambo mengiSuhendra si umeolewa wewe?
Au niulete ule uzi uzuri wa jf nyuzi hazifutiki
Kwahiyo mleta mada anataka kuchepuka sio?.vunga.Ndoa Zina mambo mengi
Wacha na mimi nikae karibu yako huenda mimi ndio nikakudondokea.Wacha nikae vizuri humu labda na mimi ipo siku nitaleta uzi wa kudondokeana na mwana Jfš©āā¤ļøāšāšØš©āā¤ļøāšāšØ
Achepuke tu aise kama anapata Amani.maisha ya ndoa ni nini kama hakuna furaha/upendo?Kwahiyo mleta mada anataka kuchepuka sio?
Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.š
Nani ajuaye siku wala saa?kikubwa uhai TI š„°š„°.Wacha na mimi nikae karibu yako huenda mimi ndio nikakudondokea.
š
Acha ukudaSuhendra si umeolewa wewe?
Au niulete ule uzi uzuri wa jf nyuzi hazifutiki
Kwani mleta mada kisha pewa muongozo chief?
Ninachoamini huku kuna watu wana mahusiano..pengine walishaachana na wapenzi wao humu na kupata wapenzi wengine humu humu jf lakin huwezi sikia upuuzi wowote mara yule yuko hivi mara vilešāāļøššš.Mwisho wa siku mtakuja kuanikana hapa tutajua hadi lodge mliyoenda na hela mlizopeanaā¦
Anyways Hongera dihaā¤ļø
Anataka kuanza kuleta mipasho.Acha ukuda