Hello JF,
Niwakumbushe tu kama mabaharia wenzangu kama unatoka kimapenzi na binti alozaliwa 1998-2003 hasira zako mkopeshe mchungaji, shehe, na kituo cha police.
Jitoe ufahamu endekeza raha, kucheka na kupotezea.
Na wengi hawajui hata kama mwamposa ni nani.
Ubaharia ni ujasili
Wadiz a.k.a Baharia