ThisIsIt
Member
- Oct 4, 2022
- 31
- 64
Niende moja kwa moja, hii nchi kuna watu wamejilimbikizia vyeo na watu ni wale wale tangu 80's na 90's ndio wapo kwenye system.
1. Imagine mtu ni MBUNGE halafu ni WAZIRI
2. Imagine mtu ni MWENYEKITI WA BODI fulani halafu anapewa tena taasisi nyingine
Vijana waliozaliwa 90's sijui watapikwa lini kwenye hizi nafasi ambazo kwasasa ni za kujuana na kuuziana
Ajira hamna halafu unakuta mzee tu alishastaafu anarudi tena kwenye mfumo..mimi anaboreka sana kama kijana😩😩
#UTUMISHI_ITENI_WATU_TUMECHOKA