Kwani Msaafu?Kuhusu mtu kuwa mbunge na kuwa waziri hilo haliepukiki lipo kwa mujibu wa katiba.
Na atazeeka akiwa anasubiri
Mtu kuwa mbunge halafu wakati huo huo ni waziri, hayo ni matakwa ya sheria yetu..!! Si maamuzi ya yeyote. Tubadili sheria.Niende moja kwa moja, hii nchi kuna watu wamejilimbikizia vyeo na watu ni wale wale tangu 80's na 90's ndio wapo kwenye system.
1. Imagine mtu ni MBUNGE halafu ni WAZIRI
2. Imagine mtu ni MWENYEKITI WA BODI fulani halafu anapewa tena taasisi nyingine
Vijana waliozaliwa 90's sijui watapikwa lini kwenye hizi nafasi ambazo kwasasa ni za kujuana na kuuziana
Ajira hamna halafu unakuta mzee tu alishastaafu anarudi tena kwenye mfumo..mimi anaboreka sana kama kijana😩😩
#UTUMISHI_ITENI_WATU_TUMECHOKA