political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Sio viwanja tu hata mtaani ukiwa unajulikana na machalii wa mtaa kwamba hukosi laki 2-3 hizi ukawa mtu wa kujimix watakuletea vitu vingi vya bond maana maisha yakigomaga bana watu hukosa option zaidi atakuletea tv yake ya 50" kwa mkopo wa laki 4 tu.Nimegundua moja ya jambo muhimu ni kuwa liquid muda wote. Matajiri wenye hela cash muda wote kwenye akaunti wananunua vitu kwa bei ndogo.
Juzi Kuna kiwanja kilikuwa kinauzwa zaidi 15M hata Mimi nilimfuata kumpa 15M akakataa.lakini juzi amepata shida ya hatari ameuza 7.5M yaani amekuja mwenyewe tena Kwa kubembeleza baada ya Madalali kutafuta mteja akakosa.
Hata Tenda zinakuja mara nyingi kipindi huna hela ukiangalia wanataka u supply vitu Kisha ulipwe lakini ukiangalia huna hela.
Ushauri: Hakikisha kwenye akaunti walau una 20M ambazo zipo tu zimesubiri muda wowote unaweza kukutana na deal inayohitaji cash na Ina faida kubwa.
Upande wa Tenda ndo muhimu zaidi, yaani unaweza kupewa tenda alafu huna hata mia.na aliyekupa hatakaa akupe nyingine hapo ndo utajua mwenye nacho uongezewaSio viwanja tu hata mtaani ukiwa unajulikana na machalii wa mtaa kwamba hukosi laki 2-3 hizi ukawa mtu wa kujimix watakuletea vitu vingi vya bond maana maisha yakigomaga bana watu hukosa option zaidi atakuletea tv yake ya 50" kwa mkopo wa laki 4 tu.
Mtu anaweza akakuletea Subaru ya 20M kwa million tisa tu. Sio kwamba hanaga hela ila unakuta vitu vimemgomea hela inahitajika urgently hasa wale wanaochezaga na hela za ofisi.
Hahahahahah unaona hela zilee zinakupitaaUpande wa Tenda ndo muhimu zaidi, yaani unaweza kupewa tenda alafu huna hata mia.na aliyekupa hatakaa akupe nyingine hapo ndo utajua mwenye nacho uongezewa
Note: Be liquid always it pays
hahahahaNiuzie kwa 150K nakutumia namb pm