political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Nimegundua moja ya jambo muhimu ni kuwa liquid muda wote. Matajiri wenye hela cash muda wote kwenye akaunti wananunua vitu kwa bei ndogo.
Juzi Kuna kiwanja kilikuwa kinauzwa zaidi 15M hata Mimi nilimfuata kumpa 15M akakataa.lakini juzi amepata shida ya hatari ameuza 7.5M yaani amekuja mwenyewe tena Kwa kubembeleza baada ya Madalali kutafuta mteja akakosa.
Hata Tenda zinakuja mara nyingi kipindi huna hela ukiangalia wanataka u supply vitu Kisha ulipwe lakini ukiangalia huna hela.
Ushauri: Hakikisha kwenye akaunti walau una 20M ambazo zipo tu zimesubiri muda wowote unaweza kukutana na deal inayohitaji cash na Ina faida kubwa.