KUWA NA PISI NYINGI INAKUWA HIVI

KUWA NA PISI NYINGI INAKUWA HIVI

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
Ngoja nitoe Siri ya kambi ipo hivi sisi wanaume hua tunapenda kua na mahusiano na mwanamke mmoja shida inaanzia nakufata nakutongoza unanizungusha ghafla namuona mwengine kwakua wewe sina uhakika utanikubalia naona nimjaribu na huyu nae anasema ntakujibu mambo Ni mengi mda mchache unaamua tena kutafuta mwengine kiufupi unaweza
kutongoza hadi wanafika 10 alafu ndo unashangaa wanaanza kukubalia mmoja mmoja yani unajikuta una kagrupu kako Mambo Ni mengi dada zangu mnapotongozwa muache utoto wa subira nitakujibu sisi hua tunaendelea kutongoza hadi tupate siku unakuja kukubali unawakuta na wenzako unaanza kuomba pesa ukizungushwa kidogo unaanza kuhusi hupendwi my dear jua folen ni kubwa na chanzo ni wewe
 
Mm niliwahi kuwa na wanawake watano bila kujua mana nilisahau kama tayari nna mpenzi
 
Ni kweli kabisa Mimi hapa nilipo Nina stock ya madem 7, halafu wengi wao niliwatongoza mwaka uliopita.

Mwakani nataka niwatose wote ni-update mademu wengine Kama kumi hivi wakunivusha 2025.
 
Ngoja nitoe Siri ya kambi ipo hivi sisi wanaume hua tunapenda kua na mahusiano na mwanamke mmoja shida inaanzia nakufata nakutongoza unanizungusha ghafla namuona mwengine kwakua wewe sina uhakika utanikubalia naona nimjaribu na huyu nae anasema ntakujibu mambo Ni mengi mda mchache unaamua tena kutafuta mwengine kiufupi unaweza
kutongoza hadi wanafika 10 alafu ndo unashangaa wanaanza kukubalia mmoja mmoja yani unajikuta una kagrupu kako Mambo Ni mengi dada zangu mnapotongozwa muache utoto wa subira nitakujibu sisi hua tunaendelea kutongoza hadi tupate siku unakuja kukubali unawakuta na wenzako unaanza kuomba pesa ukizungushwa kidogo unaanza kuhusi hupendwi my dear jua folen ni kubwa na chanzo ni wewe
sisi wengine huwa tunavumilia mpaka utakapopata jibu la yes or no. Kwa hiyo ukiona unashindwa kuwa mvumilivu ujue hauna upendo wa kweli/ wewe ni mzinzi sana kiufup malaya
 
Usitongoze kama huna demu

Wa-friend zone wadada wengi kadri uwezavyo katika hao hakikisha umewaspot watakaokufaaa Kwa mahusiano na watakaokufaa Kwa matumizi ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu

Inaendelea......
 
Back
Top Bottom