mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 531 Mar 19, 2014 #1 wadau mi ni kijna niliyopo chuo now na nina ndoto za kuwa SOLDIER wa nchi hii tatizo linalo nitatiza ni kuwa navaa miwani coz sioni mbali zaidi ya mita 50 hivi je hili tatizo litanyima nafsi ya kutimiza ndoto zangu.... wasalaam
wadau mi ni kijna niliyopo chuo now na nina ndoto za kuwa SOLDIER wa nchi hii tatizo linalo nitatiza ni kuwa navaa miwani coz sioni mbali zaidi ya mita 50 hivi je hili tatizo litanyima nafsi ya kutimiza ndoto zangu.... wasalaam