Kuwa na tatizo la macho (kuona mbali) na carrier ya jeshi

Kuwa na tatizo la macho (kuona mbali) na carrier ya jeshi

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
wadau mi ni kijna niliyopo chuo now na nina ndoto za kuwa SOLDIER wa nchi hii tatizo linalo nitatiza ni kuwa navaa miwani coz sioni mbali zaidi ya mita 50 hivi je hili tatizo litanyima nafsi ya kutimiza ndoto zangu.... wasalaam
 
Back
Top Bottom