ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mimi nashangaa sana yaani inakuaje Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zinaanzia Ngazi ya Halmashauri na kuongozwa na Baraza la Madiwani hazihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
Hawa Wajumbe sijui wenye viti hawana nafasi yeyote ya kupanga mipango ya Halmashauri zikiwemo sheria ndogo.
Sasa kama hawahusiki na ngazi za maamuzi ,tunafanya uchaguzi wao Kwa Ajili ya nini hasa?
Pili Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao wanawakilisha ngazi ya maamuzi Kwa level ya Nchi unahusisha na Madiwani?
My Take: Ili Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulete mantiki na uwe na hamasa, Madiwani warudishwe Kwa ngazi hii vinginevyo ni kupoteza mda kwenye jambo ambalo lina Tija kidogo.