briophyta plantae Senior Member Joined Feb 18, 2017 Posts 117 Reaction score 132 Sep 18, 2024 #1 Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu UVUMILIVU, UTULIVU NA AMANI, huenda vikawa na muonekano sawa katika umbile la nje kimtazamo ila kuna cha kujifunza katika kuelewa hasa hasa tunaposema tuna Amani.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu vitatu UVUMILIVU, UTULIVU NA AMANI, huenda vikawa na muonekano sawa katika umbile la nje kimtazamo ila kuna cha kujifunza katika kuelewa hasa hasa tunaposema tuna Amani.