Hivi ukumuuliza John Mnyika, Tundu Lisu au Mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa wameshawaelewa.
Huku kwetu vyama vya upinzani ni kelele tu kama za na matusi kama akina Mdude Nyagali
Hivi mbowe, mnyika mbali na siasa anaweza kufanya nini tena au lema.
Tuwavumilie tu mana kwao politics na fujo na kelele