Kuwa na vyama ambavyo havina itikadi hata moja ni shida sana. Wanabaki wanasubiri tu Rais leo anasema nini ili kukosoa

Its okay if the definition of "Right wing patritism" is squandering the public funds through formation of Criminal gangs and Cartels.
Criminal gangs and cartels have been formed by Chadema in conjunction with the American ambassador to Tanzania
 
Ujamaa na kujitegemea.
Kuwa na itikadi ni kitu kimoja na kufuata misingi ya demokrasia ni kitu kingine. Tanzania haijafikia ambapo kuna chama chenye itikadi. Si CCM au vyama vya upinzani vina itikadi yoyote. CCM haina itikadi maana ile ya ujamaa na kujitegemea iliisha tupiliwa. Kumbuka ujamaa ulikufa na kuzikwa na Mwl. Nyerere. Tulibinafisisha kila kitu, na baadaye tukaona hatuna hata uwezo wa kujiendesha wenyewe. Sasa tunaita watu wa nje ya nchi na kuwapa kila kitu waendeshe. Sasa wewe kama hujiamini kushilia na kuendesha njia kuu za uchumi utajitegemea vipi. Sasa hivi tuko mbioni kubinafisisha vipande vya ardhi vyenye (rutuba, mvua, utalii) kwa wageni. Hiyo sera mau itikadi ya kujitegemea itakuja lini wakati TZ limekuwa koloni la kiuchumu la Wazungu, Waarabu, na Wachina. AMKENI! Eti CCM ina itikadi! Itikadi ya kuwafukuza Wamasai kwenye ardhi yao kwa garama za walipa kodi, ili hiyo ardhi apewe Mwarabi aifanye kitega uchumi. Ni aibu mtu kuandika eti CCM ina itikadi na vyama vingine havina! VYAMA VOTE VYA SIASA HAVINA ITIKADI WALA MUELEKEO ZAIDI YA KUIUZA NCHI KWA "the highest bidder"
 
Kinachoonekana dhahiri ni mwenye madaraka kutaka kwa gharama yeyote asitolewe madarakani ili aendelee kufanya ambayo hayana tija kwa taifa.

Kwa kumbeza mpinzani kwamba hana sera. Analilia tu madaraka 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom