Ujamaa na kujitegemea.Ukiwa mkweli kabisa alafu ukijitoa kwenye uchawa kisha ukatumia kichwa kufikiria badala ya tumbo, ccm ina itikadi gani sasa hivi?
Are you serious mkuu?Ujamaa na kujitegemea.
Ujamaa nankunitegemea which means righ wing (uzalendo) na wanancho wameshazoea hivyo.Are you serious mkuu?
Washa kuambia chama cha demokrasia na maendeleo. Hata tafsiri yao inakushinda. Wao n wana demokrasiaHivi ukumuuliza mnyika, lisu au mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa wameshawaelewa.
Huku kwetu vyama vya upinzani ni kelele tu kama za na matusi kama akina mdude nyagali
Hivi mbowe, mnyika mbali na siasa anaweza kufanya nini tena au lema.
Tuwavumilie tu mana kwao politics na fujo na kelele
VichekeshoUjamaa na kujitegemea.
Yes CCM ni genge la majangili tupu na majizi ya mali za ummaItikadi achana nazo lengo ni kuitoa kijani madarakani mana sio chama cha siasa tena bali ni genge la wahuni wa nanyanganyi
Yes CCM inaitikadi ya kuiba mali za ummaUkiwa mkweli kabisa alafu ukijitoa kwenye uchawa kisha ukatumia kichwa kufikiria badala ya tumbo, ccm ina itikadi gani sasa hivi?
Pole sana kwa ujinga wa kutojua hata maana ya itikadi.Hivi ukumuuliza mnyika, lisu au mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa wameshawaelewa.
Huku kwetu vyama vya upinzani ni kelele tu kama za na matusi kama akina mdude nyagali
Hivi mbowe, mnyika mbali na siasa anaweza kufanya nini tena au lema.
Tuwavumilie tu mana kwao politics na fujo na kelele
Vyuo vikuu vyetu vinazalisha Chawaa ,swali kwako kwanini CCM wanapambana na CDM kama hawana ItikadiHivi ukumuuliza mnyika, lisu au mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa wameshawaelewa.
Huku kwetu vyama vya upinzani ni kelele tu kama za na matusi kama akina mdude nyagali
Hivi mbowe, mnyika mbali na siasa anaweza kufanya nini tena au lema.
Tuwavumilie tu mana kwao politics na fujo na kelele
Ili nchi isiexperince kupatwa kwa mwezi yaano lunar eclipseVyuo vikuu vyetu vinazalisha Chawaa ,swali kwako kwanini CCM wanapambana na CDM kama hawana Itikadi
Ushajiuliza CCM inasimamia nini kwa sasa?Hivi ukumuuliza mnyika, lisu au mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa wameshawaelewa.
Huku kwetu vyama vya upinzani ni kelele tu kama za na matusi kama akina mdude nyagali
Hivi mbowe, mnyika mbali na siasa anaweza kufanya nini tena au lema.
Tuwavumilie tu mana kwao politics na fujo na kelele
Right wing patritismUshajiuliza CCM inasimamia nini kwa sasa?
Labda ujamaa na ujambazi wa kila kitu kuanzia kura hadi kodi za umma🤣Ujamaa na kujitegemea.
Acha dharau, kweli hawa majembe hawana wanaloweza nje ya Politics? You must be joking. Mimi si shabilki wala mfuasi wa hawa jamaa, ila najua nje ya siasa pia wako vizuri na walikuwa na maisha yao mazuri tu hata kablya ya kuingia kwenye siasa. Nadhani unaongea vise versa kwako. Hawa jamaa wana misingi ya kuwawezesha kuendesha maishay yao na familia zao with a decent life.Hivi ukumuuliza mnyika, lisu au mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.