King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Kwahiyo unataka kutuambiaje tuliokaribu na wapare?Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .
Tunashukuru sanakila la kheri
Nafikiri muendelee Kuziba zile joint pale hostel za udsm...hahahahKwahiyo unataka kutuambiaje tuliokaribu na wapare?
HarikaaaaaUwahi ra kufika kaa ili tuvune siti uze kula du
Mshana Jr aze na mkate(iboflo) nawe uze na machungwaHarikaaaaa
We umepotea njia naona kanji amekudatisha unavamia thread tu yeyote. Uzi wa mikeka upo nenda kuleWazee wa mikeka tupeane maunjanja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waiter Zungusha Dengeluwa
Dah....we jamaaaWe umepotea njia naona kanji amekudatisha unavamia thread tu yeyote. Uzi wa mikeka upo nenda kule
ILA UMSHUKURU MUNGU PIA USIJE UKAMUOA MAGE AU UKAOLEWA NA MSHANA JR HE HE! CHAMOTO UTAKIONA.Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .