Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
 
Kwahiyo unataka kutuambiaje tuliokaribu na wapare?
 
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
ILA UMSHUKURU MUNGU PIA USIJE UKAMUOA MAGE AU UKAOLEWA NA MSHANA JR HE HE! CHAMOTO UTAKIONA.
 
Back
Top Bottom