Dah..nina maana mlifanyafanyaje hadi kuwa wapare? ππππelimu ilifika mwanzo mwanzo kule
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Dah..nina maana mlifanyafanyaje hadi kuwa wapare? ππππ
Hoyeemm n mtani wako kilm hoyee
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kama mimi ni mpare pure 100% ila jamani wapare sisi kwa umalaya tunaongoza
Unawachongea wenzio kwa 'wasiojulikana'?Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hapo mtakapo kutana mtalipuliwa na Bomu
AaamenMungu mkubwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wapare tamu sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Na sio wachoyo ukiomba
Hata kari nihubho udhudhia he itanga?Kama mimi ni mpare pure 100% ila jamani wapare sisi kwa umalaya tunaongoza