Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

Kama mimi ni mpare pure 100% ila jamani wapare sisi kwa umalaya tunaongoza
 
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
Unawachongea wenzio kwa 'wasiojulikana'?
 
Back
Top Bottom