Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .

Unachekesha, eti mange ni mwanasiasa....toka lini? Mwenzako ni kuwadi tu na anatumiwa na baadhi ya watu na viongozi kueneza habari. Kwa kifupi dada yako Mange ni demu aliyehamua kujitoa muhanga liwalo na liwe.
 
kwa wa milimani ni kawaida kujivunia kimambi
......

mawazo yako pia yanapaswa kueshmiwa
 
Unachekesha, eti mange ni mwanasiasa....toka lini? Mwenzako ni kuwadi tu na anatumiwa na baadhi ya watu na viongozi kueneza habari. Kwa kifupi dada yako Mange ni demu aliyehamua kujitoa muhanga liwalo na liwe.
Siwezi kusaliti damu Yangu
.mange forever and for always .
 
Mange anatako Wewe .kamuangalie vizur .Na ziwa lile hulioni kajaliwa.
Tacko inatakiwa ulione hata kama kavaa dera au kanzu, sasa mpaka avae swimming costumes ndo unaliona tena kwa tochi.
 
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
shuveee
 
Back
Top Bottom