byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Nilikaa Juliana Pub, kadri muda ulivokuwa unaenda aisee kitu nilicho kiona ni ongezeko kubwa sana la watu ilikuwa wanaoongezeka zaid ni wanawake yan walikua wengi kuliko wanaume, nikatoka nikaingia Tips the same wanawake wamefurika kuliko wanaume.
Nikabadili chimbo nikaingia Maison na Elements the same thing. Maswali nayo jiuliza ni kuwa inamaana ratio ya Ke kwa Me ndo zimepishana kwa kiasi kikubwa hivi kwenye population? Ukija kwenye chance ya kimahusiano hapa ni mwanaume mmoja ambae yuko Dar anauwezo wa kuwa na mademu hata 20-30 mpaka wengina anawasahau.Wanawake wamezidi kuwa wengi kuliko wanaume.
Wanaume tuko wachache ukilinganisha wanawake, bado katika uchache wetu kuna mashoga, kuna wazee, kuna wafungwa, kuna mapadre, kuna watoto, kwahyo wanawake hawa tuwatafune tuu usiwaache wastiri pale unapo pata chance we mtembezee tuu ila kuwa makini sana kijana mwenzangu wa kiume, Kumbuka msululu alio pangwa huyo dada ni mrefu kuliko kawaida. Take care sana jijali jilinde vaa kiatu kigumu sana. Usitembelee rim.